Good news to you..i hope our Diaspora learn a thing or two..we are still below 1billion usd
Good news to you..i hope our Diaspora learn a thing or two..we are still below 1billion usd
Nigeria ndio wazimu kabisa, wao wanatuma hela nyumbani zaidi ya 30 billion USD kila mwaka. Yaani ukichukua pesa inayotumwa na Waafrika wengine wote bara nzima ya Afrika bado haifikii pesa inayotumwa na Wanigeria.Diaspora wa Afrika wenye pesa ni Nigeria, Kenya, Uganda, Ghana, Zimbabwe, Cameroon, Ethiopia, Somalia, Liberia, DR congo, mataifa mengine yaliyobaki ni tia maji tia maji maana hizo nchi huko ughaibuni zina kwanza wawekezaji, wasomi wenye vitengo huko, wanamichezo aina mbali mbali huko ughaibuni, wajasiliamali wengi, Tanzania bado na Bara inashindwa na Zanzibar maana Zanzibar wako wengi nje kuliko bara
pia kuna hiiDiaspora wa Afrika wenye pesa ni Nigeria, Kenya, Uganda, Ghana, Zimbabwe, Cameroon, Ethiopia, Somalia, Liberia, DR congo, mataifa mengine yaliyobaki ni tia maji tia maji maana hizo nchi huko ughaibuni zina kwanza wawekezaji, wasomi wenye vitengo huko, wanamichezo aina mbali mbali huko ughaibuni, wajasiliamali wengi, Tanzania bado na Bara inashindwa na Zanzibar maana Zanzibar wako wengi nje kuliko bara