Mapenzi ya kitotooo... ya kitotooo mi siweeezi....jide naye aache kumchokonoa G amove on sasa kwani akimpa hayo makavu ndio anapata nini? anajipa stress tu kelele nyingii mwenzie akirusha kombora moja tu watu wanapaniki hebu muacheni gadna bhana....
kunya anye kuku akinya bata kaharisha
haa haa hiyo ya dakika tatu watu watakufwa kabisa...maana hii ya sec 30 tu imeleta shida hapa mjiniNa Gadna atatoa Kumkojoza remix ila itakua ndefu ya dakika 3 sio kama hii ya 30 seconds.
bange siyo nzuri....nature zimpeleka kuimba album nzima kwa ajili ya sintaMambo hayo ya kijinga yalianzishwa na Sir Nature baada ya kuachana na Sinta. Nature alitunga album nzima dhidi ya Sinta.
Wasanii ni wasanii tu hawana ufahamu mkubwa wa masuala ya kijamii.
Bazazi
Wewe jamaa ni hovyo sana. Kwahiyo diamond ataweza au?Hivi unadhani kuna msanii atakayekubari kufanya nyimbo/remix na Jide ??? ( hata kibakuli hawezi kukubali pamoja ni mshikaji wake na wapo menejimenti moja. )
Upo sahihi kabisa ................jide naye aache kumchokonoa G amove on sasa kwani akimpa hayo makavu ndio anapata nini? anajipa stress tu kelele nyingii mwenzie akirusha kombora moja tu watu wanapaniki hebu muacheni gadna bhana....
kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Hovyo + hovyo = ..........? ( na aliyem'quote hovyo naye anakuwa ni hovyo.)Wewe jamaa ni hovyo sana. Kwahiyo diamond ataweza au?