Uchaguzi 2020 Remix ya Wimbo wa Taifa; CHADEMA mmezingua sana

Wimbo wa Taifa hauna neno CHADEMA na mengine yanayosemekana waliimbwa kwenye wimbo huo kwa hiyo haukuwa wa Taifa Bali maneno machache yalifanana au tone na wa Taifa. Nchi kadhaa za Kusini mwa Afrika ikiwa ni pamoja na Zambia, Afrika ya Kusini nk nyimbo zao Taifa zinafanana na wetu lakini siyo za kwetu.
 
Umeaandika dude refuuuu lakini halina maana
 
Kuna Yule mwanamuziki aliuimba wimbo wa taifa kwa remix akampamba jiwe, (.......MUNGU MBARIKI JIWE......) lakin hakuchukuliwa hatua yeyote.
 
umeongea vizuri ila sijajua hiyo namba umeiweka hapo kwa lengo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…