Mkuu umefika. Tunaweza kukuletea remote control yako mpaka Dar es Salaam toka Japan. Tupe jina na Model ya TV yako nasi tutakutafutia moja kwa moja toka kwa watengenezaji. Nimeiona hii kwenye soko: LG REMOTE CONTROL FOR PLASMA TV 42PX8DC OR LCD TV NEW!