Thanx for sharingHOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code "net user administrator /active:yes". NOTE this mark not needed ("").
{5} Restart your system. Now a new login account will be created.
alban
HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code "net user administrator /active:yes". NOTE this mark not needed ("").
{5} Restart your system. Now a new login account will be created.
alban
Je namna ya kutoa password iliyoko kwenye PC na co OS?
Je namna ya kutoa password iliyoko kwenye PC na co OS?
Hata ukienda safe mode with command prompt ni lazima ulogin kwanza ndio uwe na uwezo wa ku access CMD, otherwise kazi bure
mkuu mimi natumia window 7 ina sasa tatizo ni kwamba hii pC kila nikiiwasha unatokea mwanga wa njano kwenye display na picha ambayo niliiweke backgroup inatoka je tatizo ni nini?HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code "net user administrator /active:yes". NOTE this mark not needed ("").
{5} Restart your system. Now a new login account will be created.
alban
KWA NINI COMPUTER "HUZIMA" NA HULETA BLUE & YELLOW Mambo yanayosababsha ni kama yafuatavyo-:mkuu mimi natumia window 7 ina sasa tatizo ni kwamba hii pC kila nikiiwasha unatokea mwanga wa njano kwenye display na picha ambayo niliiweke backgroup inatoka je tatizo ni nini?
CHIEF MKWAWA
Asante mkuuYeah! inatokea kwa baadhi ya PC. Njia mbadala, chukua cd yenye windows au USB Flash iliyo na window (ishafanywa kuwa Bootable). Boot toka kwenye iyo cd au flash kisha fungua Troubleshooting >>> Advanced Option >>> Command Prompt kisha malizia kuandika iyo command aliyoandika muanzisha hii thread.
Kwahiyo mkuu unanisaidiaje?KWA NINI COMPUTER "HUZIMA" NA HULETA BLUE & YELLOW Mambo yanayosababsha ni kama yafuatavyo-:
{1} Epuka kuistall PROGRAMES ambazo haziendani na WINDOWS unayoitumia. mf: FIRESHEEP, OPHCRACK, PWDUMP, PRORAT nk. hiz APPS zipo kwa ajili ya WINDOWS XP, Unapoinstall ktk WIN 7,8 or 10 lazima itakuletea tatizo hilo.
{2} Epuka kuinstall DRIVERS zisizo za ulazima. mf: DRIVER UPDATER, SAMSUNG USB DRIVER, NMAP DRIVER, COMMVIEW FOR WIFI DRIVER nk.
{3} Epuka kuistall HACKING APPS usizozifahamu, kwani zingine huwa ni MALWARE softwares. mf: CAIN AND ABEL, NETSTUMBLE, GMAIL HACK nk.
{4} Epuka kudownload na Kuinstall APPS za bure ambazo unaletewa pindi tu uingiapo mtandaoni. mf: WINDOWS SYSTEM REPAIR, SYSTEM REGISTRY, CONVERTERS, GAMES nk.