unknown1234
New Member
- Jul 12, 2024
- 1
- 4
Habari ndugi zangu
Naomba nijue kuhusu kutolewa kwa kizazi kwa ambao washapitia changamoto hiyo
Je unakuwa na tofauti gani katika kufanya tendo la ndoa na mume
Je Kuna changamoto zingine unazipata au madhara yoyote
Wanawake wengine wanasema kama mwanamke anakuwa hafai tena unanenepa unakuwa na tumbo.kubwa na pia mume ndo basi tena anakukimbia
Naomba nijue ukweli
Mie Nina matatizo kwenye kizazi nataka nikafanyiwe upasuaji na kutolewa
Naomba kujua
Asanteni