Uchaguzi 2020 Renatus Mulashani ajitosa Muleba Kaskazini

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
364
Reaction score
468
Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM) aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara.
Kama Mwijage atapitishwa na CCM basi ni wazi jimbo hilo litachukuliwa na CHADEMA
IMG-20200709-WA0039.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM) aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara.
Kama Mwijage atapitishwa na CCM basi ni wazi jimbo hilo litachukuliwa na CHADEMAView attachment 1502331

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwijage na ccm bona bashuma
 
Huyu sio mtanzania angalia tangazo lake kwenye picha

kaandika MTIANIA kaunganisha maneno wakati alitakiwa atenganishe aandike MTIA NIA

Kosa lingine kaandika MULEBA KASKAZIN badala ya MULEBA KASKAZINI

Kosa la tatu kaandika MNIAMIN badala ya MUNIAMINI

Mhuyo hata kiswahili hajui atakuwa mhamiaji haramu huyo
 
ngoja tuone kama atafanikiwa lakini kwa muda mref sasa ccm ndio imekuwa ikitawala labda kwa mwaka huu lolote linaweza kutokea na kwa trend ya Mwijage kama akigombea tena kuwa posibillity akashindwa kutokana na jimbo kukosa maendeleo chini yake ndani ya miaka kumi
 
Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM) aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara.
Kama Mwijage atapitishwa na CCM basi ni wazi jimbo hilo litachukuliwa na CHADEMAView attachment 1502331

Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA chama cha watu.
 
Huyu sio mtanzania angalia tangazo lake kwenye picha

kaandika MTIANIA kaunganisha maneno wakati alitakiwa atenganishe aandike MTIA NIA

Kosa lingine kaandika MULEBA KASKAZIN badala ya MULEBA KASKAZINI

Kosa la tatu kaandika MNIAMIN badala ya MUNIAMINI

Mhuyo hata kiswahili hajui atakuwa mhamiaji haramu huyo
Kwenye MUNIAMINI nawewe umwkosea yeye kapatia,kwa hiyo na wewe ni mhamiaji haramu toka MALAWI
 
Back
Top Bottom