Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 364
- 468
Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM) aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara.
Kama Mwijage atapitishwa na CCM basi ni wazi jimbo hilo litachukuliwa na CHADEMAView attachment 1502331
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA chama cha watu.Aliyekuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Dar es salaam, Renatus Mulashani, ametangaza nia ya kugombea jimbo la Muleba kaskazini lupitia CHADEMA. Mbunge anayemaliza muda wake ni Charles Mwijage (CCM) aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara.
Kama Mwijage atapitishwa na CCM basi ni wazi jimbo hilo litachukuliwa na CHADEMAView attachment 1502331
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM na mukama wabo bakalya elambilambi zaitu za Kagera, bagabila abantu ebishukuti tibaina nshoni bashuma bona!!Mwijage na ccm bona bashuma
Kwenye MUNIAMINI nawewe umwkosea yeye kapatia,kwa hiyo na wewe ni mhamiaji haramu toka MALAWIHuyu sio mtanzania angalia tangazo lake kwenye picha
kaandika MTIANIA kaunganisha maneno wakati alitakiwa atenganishe aandike MTIA NIA
Kosa lingine kaandika MULEBA KASKAZIN badala ya MULEBA KASKAZINI
Kosa la tatu kaandika MNIAMIN badala ya MUNIAMINI
Mhuyo hata kiswahili hajui atakuwa mhamiaji haramu huyo
Bakabagila amajani g'ekyaye.Bona mbaly'empali.Kikufuli nkily'empali y'enkobe.CCM na mukama wabo bakalya elambilambi zaitu za Kagera, bagabila abantu ebishukuti tibaina nshoni bashuma bona!!