Rene Huguita, kipa machachari zaidi kuwahi kutokea

Rene Huguita, kipa machachari zaidi kuwahi kutokea

errymars

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
98
Reaction score
285
Rene Huguita.

Alipata kuishi katika sayari tuliomo.

Anatoka katika nchi ya Colombia. Mpira kwake ilikuwa ni furaha vituko na vihoja.

Mara nyingi alitoka golini kwake kwenda mbele kuongeza mashambulizi na kupata mabao.

Alikuwa ni mfungaji mahiri wa free kick.

Pichani anaonekana akitumia miguu kuzuia bao,badala ya mikono,hakuna golikipa aliye wahi kuishi katika sayari hii akathubutu mchezo kama huu, manek huko kwao bao likiingia kwa uzembe kama huu,wanakufuturu mapemaa.

Amefanikiwa kushiriki kombe la dunia mara kadhaa.

1668609129319.png
 
Kuna game moja ya world cup, mwamba alipata taarifa ya matajiri waliobashiri (kuwekeana dau/bet), na hao jamaa ni mahasimu wake.

Aisee mwamba aliuza mechi kimasihara wakafungwa dakika za mwisho, baada ya game akakoswa koswa kupigwa risasi ila bahati nzuri kwake wale mahasimu wake wote waliuwa na risasi kutokana na visasi vya wafuasi wa makundi yao drug dealers.
 
Back
Top Bottom