Kuna game moja ya world cup, mwamba alipata taarifa ya matajiri waliobashiri (kuwekeana dau/bet), na hao jamaa ni mahasimu wake.
Aisee mwamba aliuza mechi kimasihara wakafungwa dakika za mwisho, baada ya game akakoswa koswa kupigwa risasi ila bahati nzuri kwake wale mahasimu wake wote waliuwa na risasi kutokana na visasi vya wafuasi wa makundi yao drug dealers.