Rene Meza

toby ziegler

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
105
Reaction score
57
Jamaa alipokuwa Airtel Kenya aliwachachafya sana Safari Com sasa Voda wameamua kufanya mapinduzi. wamemleta huyu Tanzania ..lakiini msisahau kuwa Safaricom iko owned na Vodafone International ...game of thrones perhaps?
 
jamaa kichwa, mianya yote kulee, wazee wa 10% wote out!!!! leo watu wanakula bata Golden Tulip kusherehekea mafanikio ya EBIDTA
 
..Nchi ya kitu kidogo, utajiri wa fasta fasta, ujanja ujanja......Nakulilia Tanzania. Go ahead Rene Meza. Fukuza woote, tuanze upya
 
Full adabu na heshima....Jamaa nasikia ana target kubwa sana kwenye market share atafikia 55% ni balaaaa anawaburuzakinomaaaaa
 

Unazungumzia department gani? Maana kuna jamaa yangu anakula bata la kufa mtu hapo kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…