Renee Lamira yuko wapi?

Tucheze Ngoma zetu, aliolewa akipigwa Biti kama Mke wa Mengi akaacha muziki wa kidunia, Sasa hivi analea
 
Kwanini hajaolewa hadi leo!!???
Mkuu kuna updates hapa kwamba Renee Lamira ameolewa na ana familia kwa sasa..anasali pale kwa pastor Chriss Mbezi..so ana mwenyewe kwa sasa hah hah
 
"sio watu wote wakuchekeaaaaa.....moyoni wanakuteketeza(hapa sijui kama nimepatia), kama fisi wakunyatiaaaa, mioyo yao yote imejaa fitinaaaaaaa, kukumaliza ndo yao niaaaa, ooohhh uuuo ooo ooo, kukumaliza ndo yao niaaaaaa, kukumiza ndo yao nia ouooo, kukumaliza ndo yao niaaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…