Renee Ramira

Renee Ramira

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
427
Nadhani Hili jina si Geni Kwa Wadau Wa Muziku kuanzia miaka Ya 2001 mpaka 2005.. Tafandhari ndugu wanaJf mwenye Nyimbo za Huyu Dada Naomba atuwekee hapa maana Nimetafuta mpaka jasho limenitoka..

Pia mwenye taarifa za alipo huyu dada alipo ana anajishughulisha na nini

Natanguliza shukrani
 
Huyu ni Mtz aliyekuwa anaishi Marekani. Na alifanya muziki huko kabla ya hatimaye kurudi Tz. Baadaye 'akaokoka' na akawa 'anampenda Bwana'. Mara ya mwisho alikuwa anasali Kanisa la Kwa Makuti kawe kwa 'mtume' Onesmo Ndegi. Sijawahi kumwona wala kupata kujua taarifa zake tangu wakati huo.
 
Back
Top Bottom