Nadhani Hili jina si Geni Kwa Wadau Wa Muziku kuanzia miaka Ya 2001 mpaka 2005.. Tafandhari ndugu wanaJf mwenye Nyimbo za Huyu Dada Naomba atuwekee hapa maana Nimetafuta mpaka jasho limenitoka..
Pia mwenye taarifa za alipo huyu dada alipo ana anajishughulisha na nini
Natanguliza shukrani