renewable energy engineering

renewable energy engineering

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
wadau UDOM wanategemea kuanzisha course ya renewable energy engineering mwaka huu kwa ngazi ya degree na diploma,hivi soko lake kwa ujumla?na sehemu gan sana kuajiriwa?
 
course nzuri sana hio,ajira kibao,na hayo ndio mambo ambayo dunia inazungumzia kwa sasa,huwezi kufa njaa ukisoma hio
 
wadau UDOM wanategemea kuanzisha course ya renewable energy engineering mwaka huu kwa ngazi ya degree na diploma,hivi soko lake kwa ujumla?na sehemu gan sana kuajiriwa?

Ni kozi nzuri ila changamoto za kozi mpya zinazoanzishwa ni nyingi hasa walim na maeneo ya kufanyia mazoezi kwa vitendo ni shida
 
Kwa swala la walimu nakupinga!!! renewable energy ipo toka zamani kwenye vyuo wanavyofundisha mechanical au agricultural engineering na inatolewa kama option kuanzia mwaka wa 3!! walimu wapo sana tu hilo halina ubishi!!!

Na kuhusu sehemu za filed bado sio shida maana atapofanya field mtu wa electrical au mechanical basi mtu wa renewable anafanya bila shida hasa kwa mwaka wa kwanza na wa pili!! kama hiyo kozi itaanza kutolewa UDOM nakushauri tzhumoally ukasomee!!
 
Last edited by a moderator:

ni kweli LORDVILLE ila tatizo anaweza kukuta competition mpaka basi,ila akipata basi ni course nzur,na ajira zipo nyingi tu serkalini na makampun binafsi.
 
Kwa swala la walimu nakupinga!!! renewable energy ipo toka zamani kwenye vyuo wanavyofundisha mechanical au agricultural engineering na inatolewa kama option kuanzia mwaka wa 3!! walimu wapo sana tu hilo halina ubishi!!!

Na kuhusu sehemu za filed bado sio shida maana atapofanya field mtu wa electrical au mechanical basi mtu wa renewable anafanya bila shida hasa kwa mwaka wa kwanza na wa pili!! kama hiyo kozi itaanza kutolewa UDOM nakushauri tzhumoally ukasomee!!

Cmkatalii kusoma hio kozi ila najarib kumuelewesha hali halisi ilivyo!nipo udom 3rd yr petroleum engineering changamoto za college of earth's science nazifaham vizuri sana! Kozi nyingi huwa inakurupuka kuanzisha bila kujipanga! Najua kila kozi ktk hio degree programme itafundishwa kwan walim wengi watakuwa ni wa mda(part time) ukipangiwa usishangae kusoma kozi ndan ya wiki mbili au karibia na semester kuisha!

Napenda kuwa muwazi kwako ila ckukatishi tamaa kwan ukijitambua ukakomaa bila kusubiri mwalim akupe kila kitu utagraduate ukiwa competent! Karib sana udom college of earth's science
 
nimekupata kijana,
 
Ukisoma bachalor degree ya renewable energy engineering unaweza kuja kusomea master degree ya civil/ mechanical engineering?
 
hapo sielew ila mm najua ukisoma mechanical au civil first degree basi unaweza kufanya master ya renewable energy engineering
 
Back
Top Bottom