Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo mambo ya Pinda hayo! and please dont get me started na hiyo kilimo kwanza
Huyu bwana hafany press conference, website ya ofisi yake HOVYO HOVYO tuu haina anything kuhusu policy za serikali anayoiendesha, if anything watendaji wengine serikalini wanamdharau tuu na last but not least naona atakumbukwa kama Waziri mkuu ambaye alitaka kupiga marufuku mawaziri kuvaa suti NA alitaka watembelee BAJAJI!
Narudia tena this is the most useless Prime Minister ever to breath in Tanzania if anything kwa kutaka kuleta politics of envy ni Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character na mbaya zaidi naona kapewa cheo kikubwa kuliko uwezo wake
Hivi kila kitu mpaka akiingilie JK ndio kinafanyika?
Kutuambia eti hajui kwa nini Malaysia wameendelea wakati tulikuwa sawa nao kimaendeleo inabidi huyu Pinda arudi darasani asome au nashauri wapambe wake wamnunulie hivi vitabu
halafu aachane na kusoma udaku
si vibaya akawa anasoma gazeti la ECONOMIST kila wiki