Report card ya Mizengo Pinda

Wewe unamtetea huyu mtu anataka Tanzania ifuate mob justice badala ya rule of law?

By the way anavaa suti bado?

Pale alihamanika tuu. Suti zake zile bado anavaa mara moja moja, I like the guy, jamaa ni down to earth.
 
Hayo majina nimeyaweka maksudi wanaomuelewa GT wamenielewa maana yangu na yeye anafahamu kwanini nimemuingiza Ramadhani Dau katika kundi hilo!!

Naona unamchokoza GT!
 
GT,

..mambo ya Pinda ni Kilimo Kwanza.

..halafu mbona mimi naona kama afadhali ya Pinda kuliko JK?

Kilimo kwanza suo yeye, ni JK ndiye ameingixwa kingi, yeye ni utekelezaji tuu.

Pinda ni kichwa, you can tell na ile live ya Alhamisi Bungeni.
 

"weuwe chile chituo cha ubungo kama asingekuwa yeye kingetoka mikononi mwa chingunge?"
 
"weuwe chile chituo cha ubungo kama asingekuwa yeye kingetoka mikononi mwa chingunge?"
Haswa! na it takes guts to take on Kingunge.
Waziri Keenja aliyehusika na Tawala za Mikoa alijaribu kumzuia Kingunge kuchota toka Dsm City Commission wakati ule , na uwaziri wake ukatokea dirishani! Naye Kingunge akajipa miradi ya Parking na baadaye hiyo ya Ubungo.
MKPP is a slow but sure player, plays by the book
 
GT sawa kama Pinda hafai unampendekeza nani achukue nafasi yake kati ya hawa:- Juma Kapuya, Adam Malima au hata Ramadhani Dau!!!

Pole pole mkuu Bulesi. Utamfanya GT ashindwe kufaidi week end yake vizuri.
 
Yuko busy kujiandaa kuwa Rais ...lol mimi nilifikiri anatakiwa kutekeleza shughuli za serikali kwa sasa kuliko kuogopa kufanay chochote ili usiwe na upande ..aibu kubwa..what a shame?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…