kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
You have poor understanding the word POOR, with million of people eating there daily meal intake, have access to water, and have somewhere to call home, that person isn't categorize as poor. Millions and millions of Tanzania are doing that every single day and they live up to age of 70 years give or take.
Ule uchumi wa SA si wa watu wengi. Ndivyo ilivyo hata kwa jirani. Usishangae yale magorofa na malls za SA na penginepo. Si wote huvinjari humo.Sasa kama South Africa wako kwenye hii list basi hii report haina maana yoyote.
Are you arguing with the FACT that you are one of the Least Developed Countries (LDC).
Try another one.
hivi ni wapi kuna dirty politics kati ya Kenya na Tz.sio kweli mkuu@ nimeishi nchi abroad @ mfano tu hapa cordoba city Argentina. tupo watz kama 3000 most of them are undocumented migrants # ukienda south Africa na Botswana. watanzania zaidi ya laki nne. kuna watz wengi mno# kwa ujumla watanzania sio wazalendo hatupend McGowan yote bcoz of dirt politics, poverty unlike Kenyan for sure blv me Schaeffer ushabiki sema ukweli
tanzania below poverty line is 22%It's 49% minimum in Tanzania.
Tanzania was researched also but results show Tanzanians love their country and do not want to leave at all.You missed the point. Tanzania, by virtue of being LDC, is rarely included in country by country studies. Either the researchers only have a budget to go to the MAIN COUNTRIES, or LDCs will skew the normal curve, or both.
Otherwise if TZ was included in this research, your percentage would be through the roof.
You would be going head to head with Somalia and South Sudan in terms of wanting to leave your country.
Hapo mbona hujaweka takwimu za nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza EA?
Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz au labda ni kwa sababu Rais hatoki nje ya nchi, hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?
Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia
Those are drug traffickers, you mentioned all drug trafficking cartels, so you expect drugs goons to love anything sensitive? Lolnop watanzania ndio wanachukia nchi yako ukataka kujua tembelea watanzania waishio south Africa ,Brazil Chile Colombia na Argentina ndio utajua kwanin watanzania wanaikimbia nchi yao pasipo kuwa vita@ hongoreni kenya kwa kuwa wazalendoe na na nchi yao@ Bongo is a completely a Daimler state
That's why your sisters are mopping Arab asses with a little bread in return to sustain their breathing, they're slaves in Arab and you feel proud shameWe are proud to export our skills throughout the world.
Alafu, getting a Visa to the most attractive countries like US, UK etc, might require an English test.
That might explain the low numbers of Tanzanians overseas.
Under poverty line my friend. Bado hatujahesabu poorIt's 49% minimum in Tanzania.
Stop sugar coating your horrible rotten country most hated one with its own citizens, we're talking about Kenyans hatred towards their country
we jamaa una akili punguani china ina watu bilioni moja unalinganisha na nchi wa watu mil 45China, India population (2.5b) Hawaongei kingereza.
Halafu ulivyomshamba unadhani emigrants ni kama tourists hahahahaha
Emigrant ni mtu anahama mazima toka nchi yake.
Kwikwikwikwikwi Kenya ndiyo inawatu 45ml dogo. Tanzania ipo na watu 0.055Billionwe jamaa una akili punguani china ina watu bilioni moja unalinganisha na nchi wa watu mil 45
That's why your sisters are mopping Arab asses with a little bread in return to sustain their breathing, they're slaves in Arab and you feel proud shame
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo mbona hujaweka takwimu za nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza EA?
Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz sijajua labda ni kwa sababu Rais wa TZ hatoki nje ya nchi, au ni sababu TZ hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?
Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia
India is the world second largest English speaking country, second only to the US.
Also China has a significant number of English speakers. And I said 'might require and English test'. Not all the time.
Mfano, anyone seeking to enroll in a US university must take the TOEFL exam. Test of English as a Foreign Language.
me ni mtz 100% ila nasema ukweli sifichi@ Taifa letu hatuna blind leader for sure@ hainiingia akilini nchi yenye mali nying kama Tanzania still bado ni maskini na bado government workers wanapata mishara ya uS$250 kwa mwezi ??Hakuna proof ya hayo unayoyasema. Hayo ni maneno yako tu yenye nia mbaya na nchi yetu. Most of people kama wewe huwa ni wakenya. Hakuna mtanzania anaweza kwenda kuteseka nchi ya ugenini na kuacha nchi nzuri yenye kila kitu.
Ardhi ipo, Madini yapo, Uvuvi upo nk. Hao watakuwa ni wakenya wanajifanya watanzania au wewe ni mkenya unataka kuchafua nchi yetu tukufu.
mameno mengi bila proof ni upumbavu. Nimekueleza ulete proof unaanza kuleta nyimbo.me ni mtz 100% ila nasema ukweli sifichi@ Taifa letu hatuna blind leader for sure@ hainiingia akilini nchi yenye mali nying kama Tanzania still bado ni maskini na bado government workers wanapata mishara ya uS$250 kwa mwezi ??
proof ipi dogomameno mengi bila proof ni upumbavu. Nimekueleza ulete proof unaanza kuleta nyimbo.
Stop nonsense bro we are hardworking Tanzanian we are not drugmules # tunapambana na maisha yetu abroad tunafanya mishe halali abroad na tunalipa kodi acha ujinga huo si kila alieko south America ni drug dealer@ duck yo idiotThose are drug traffickers, you mentioned all drug trafficking cartels, so you expect drugs goons to love anything sensitive? Lol
JPM kicked out their asses that's why they hate anything from Tanzania