Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 3,890 Reaction score 8,647 Mar 29, 2020 #21 Bado haina maana kuwa na furaha ni suala la mtu mmoja mmoja na sio jumuishi. Furaha inakuja kwa vitu vingi..sijui huo utafti umeangalia vitu gani?
Bado haina maana kuwa na furaha ni suala la mtu mmoja mmoja na sio jumuishi. Furaha inakuja kwa vitu vingi..sijui huo utafti umeangalia vitu gani?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Mar 30, 2020 #23 If such is "happy", I wonder when it's sad!?
K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Mar 30, 2020 #24 MK254 said: Halafu Watanzania ndio the least happiest, noma sana. Click to expand... Happiest people mnachapana bakora kama punda!
MK254 said: Halafu Watanzania ndio the least happiest, noma sana. Click to expand... Happiest people mnachapana bakora kama punda!