Report ya benk ya dunia (WB) ya 2016. yaonya kuwa uchumi wa taifa letu Tanzania utapolomoka karibu kwa asilimia 5% kwa mwaka huu.
Kwa dalili hii inawezekana tukaipoteza nafasi ya 10 tulionayo ya uchimi Africa. Ikumbukwe uchumi wetu umekuwa ikishikilia nafasi ya 10 kwa uchumi mkubwa Africa.
My take. Serikali inahaja ya kutafuta way solution za kuepusha kupolomoka kwa uchumi na kuyumba kwa taifa ili kuinusuru Tanzania na ni vyema Juu ya Hali ya Nchi, Mjadala wa kitaifa ukachipua sasa kuhusu hali ya uchumi wa nchi yetu.