REPORT YA CAG KUHUSU MEMBERS WA HUMU JF

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
katika 100% upo katika kundi gani?


10%= mabaharia fake

30%= wanachama wa CHAPUTA hapa ndani yake wanawake wapo asilimia 2% tu asipimia 98% ni kina wanaume wa dar wengi wao wakiwa ni UVCCM

25%= wazee wa kubet humu pia wamejaaa tele

25%= humu kuna jobless wengi mno wamejaa

naombeni mmalizie na nyie izo asilimia zingne.
 
nipo kwenye 10% ambayo haijatajwa............
10+30+25+25=90%
hii ripoti fake,math not hot
 
nipo kwenye 10% ambayo haijatajwa............
10+30+25+25=90%
hii ripoti fake,math not hot
ukisoma vizuri nimesema mmalizie na wenyewe asilimia zilizobaki
 
Inabidi urudi darasa la tano ukajifunze hesabu za Asilimia.

Over
 
ukisoma vizuri nimesema mmalizie na wenyewe asilimia zilizobaki
Sasa umeacha Asilimia 10 tu ndio Nini?

Mfano wenye username za kike ila Ni MIDUME Ni zaidi ya 20% Sasa nitamalizia vipi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…