Mdogo wangu ni mjamzito anakaribia 7month nw..juzi kaenda clinic akacheki ultrasound dr akamuambia mtoto hajageuka amelala kiupande ...akamuambbia arudi after 6 wks amcheki tena kama atakuwa kageuka ama la...je hiyo inasababishwa nanini?na mtoto anatakiwa alaleje tumboni?na je kua hatari gani za hali hii?