Report ya ultra sound

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Mdogo wangu ni mjamzito anakaribia 7month nw..juzi kaenda clinic akacheki ultrasound dr akamuambia mtoto hajageuka amelala kiupande ...akamuambbia arudi after 6 wks amcheki tena kama atakuwa kageuka ama la...je hiyo inasababishwa nanini?na mtoto anatakiwa alaleje tumboni?na je kua hatari gani za hali hii?
 
Inatokea mtoto kuchelewa kugeuka na mpaka ifike hiyo 6wks atakuwa anafikisha miezi 8 ambayo pia inawekezana ndani ya muda huo akageuka. Suala la kuchelewa kuegeuka mojawapo nachojua ni ulalaji mbaya (chali). Mtoto akifikisha umri wa kugeuka kichwa kuwa kinakuwa chini na miguu huwa juu. Hapa anakuwa amekaa mkao kutoka (kuzaliwa) ndio maana mtoto anapozaliwa mara nyingi hutanguliza kichwa.
 
Mwambie mdogo mtoto akigeuka atajua tu, maana kipindi hicho kila dakika atakuwa anahisi kubanwa na haja ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…