Nimesikiliza BBC matangazo ya jioni,reporter wao kutoka Dodoma akasema kuwa Bunge limehairishwa baada ya wabunge wa kutoka Zanzibar kutoka nje ya bunge, badala ya kusema wabunge wa kutoka Zanzibar na wabunge ws upinzani,na mpaka mwisho hawakufanya masahihisho yoyote, ushabiki sio mzuri wakati watu wote tumeona.