REPORTER WA HIVI... NAMKATA KIDEVU

Iceberg9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
24,893
Reaction score
47,768
Katika mazingira ya sio ya kawaida REPORTER anakuhoji wakati upo hoi
 
haaaaaaaaaaaa! nmekumbuka class wakati nasoma mwaka 2010, lilikuwa moja yaswali kuwa ukikuta, mtu kaumia utafnya lipi? utmukoa? tatzo hapo ni kuwa ukimuokoa utqapotezA USHAIDIWA TUKIO KUWA LILIKUWA LIVE, NDIVYO FANI INAVYOTAKA. MTASAMEHEE JAMANI
 
Kama swala ni ushahidi basi sawa kah ,yani kwa hali hiyo huwezi hata kujibu swali mtu umebanwa karibia unadanja halafu mtu ana entertain, namzabua kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…