Reporting date for Mbeya Institute of Technology first year applicants for bachelors please

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
59
Tafadhali kwa anayejua tarehe ya kuripoti chuoni hapo, MIST, anijuze. Kwa sababu nimecheki kwenye NACTE nimeona jina langu nimepangiwa Mbeya Institute of Science and Technology. Kwenye website ya chuo hakuna taarifa zozote kuhusu bachelors, iwe waliochaguliwa kujiunga wala tarehe ya kuripoti,ukifungua website yao (Index of /) news zote ni za wale wa diploma tu. mwenye taarifa zozote tafadhali.
 

ni kweli,yani me mwenyewe nasubiria huko huko aisee,subira inahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…