propaganda ssa ushahidi mahakamani unasema 10,000 polling stations hazikuhakikiwa matokeo yake ambayo yanabeba kura zaidi ya million 4 sasa mlitaka majaji wakatae hyo hoja??? ina maana wale wanne wote walihongwa???
alafu kingine hta kma alikutana na NASA Lazma wangetuma representatives sio kutumia common faces eti orengo and wetangula this is a pure lie !!
kma kenyatta alishinda. akirudia si atashinda tena ssa hizi hasira za nni??? tunataka amani jirani zetu hizi propaganda zitasababisha machafuko
mkora ni mtu wa aina gani!?
kwahyo sheria inaruhusu transmission mbovu namna hyo how can they be sure kuwa kuna legitimacy wakati mfumo unaotakiwa haukutumika??? pia ilidaiwa database ilikuwa hacked na walifanya auditing pamoja na wakagundua ni kweli sasa kivp mnakataa kuwa mahakama hawana hoja za kuzuia uchaguzi???Kuna mambo ambayo huelewi jameni. La kwanza, mambo ya polling stations elfu kumi yalikuwa matatizo ya network na tayari IEBC walikuwa wamese hata KABLA ya uchaguzi kuwa kutakuwa na tatizo hili. Ikiwa una hamu na ukweli, soma habari hii : Over 11,000 polling stations lack network coverage, returning officers to 'move' to relay results
Hizi polling stations zilituma matokeo ya urais kwa njia ya HARD COPY na TEXT. Sio eti matokeo hayapo; yapo lakini hayakuja kwa njia ya elektroniki.
Kuhusu representatives, mtu hukutana na wengine kwa njia ambayo anaona hawezi kushikwa. Cha msingi ni kumwambia yule anayeleta mdai atoe ushahidi. Call logs za safaricom na airtel zaweza kuletwa kwa court order. hili ndilo lafaa tuitishe.
Kama Kenyatta alishinda, atashinda tu. Lakini sisi wananchi tutakuwa hatujafanyiwa haki. Bilioni 15 ziende tu kwa moshi. Hivi sasa hawa NASA wanataka eti uchagiuzi uairshwe ili matakwa yao itimike. Kile wanachotaka ni MKATE NUSU. Yaonekana huelewi siasa za Kenya. Kama Raila alishindwa, unafikiri anawezataka tena uchaguzi urudiwe?
Mkora ni MUHUNI...MWIZI...MTOTO wa mtaani asiye na maadilimkora ni mtu wa aina gani!?
Umechambua vizuri,nifafanulie kuhusu MKATE NUSU kinaganaga.Kuna mambo ambayo huelewi jameni. La kwanza, mambo ya polling stations elfu kumi yalikuwa matatizo ya network na tayari IEBC walikuwa wamese hata KABLA ya uchaguzi kuwa kutakuwa na tatizo hili. Ikiwa una hamu na ukweli, soma habari hii : Over 11,000 polling stations lack network coverage, returning officers to 'move' to relay results
Hizi polling stations zilituma matokeo ya urais kwa njia ya HARD COPY na TEXT. Sio eti matokeo hayapo; yapo lakini hayakuja kwa njia ya elektroniki.
Kuhusu representatives, mtu hukutana na wengine kwa njia ambayo anaona hawezi kushikwa. Cha msingi ni kumwambia yule anayeleta mdai atoe ushahidi. Call logs za safaricom na airtel zaweza kuletwa kwa court order. hili ndilo lafaa tuitishe.
Kama Kenyatta alishinda, atashinda tu. Lakini sisi wananchi tutakuwa hatujafanyiwa haki. Bilioni 15 ziende tu kwa moshi. Hivi sasa hawa NASA wanataka eti uchagiuzi uairshwe ili matakwa yao itimike. Kile wanachotaka ni MKATE NUSU. Yaonekana huelewi siasa za Kenya. Kama Raila alishindwa, unafikiri anawezataka tena uchaguzi urudiwe?
Mkuu inaonyesha huijui siasa ya Kenya, Wakikuyu wakiwa kundi moja na Wakalenjin hawawezi kushindwa kwenye uchaguzi, hao peke yao ni kama 45% ya wapiga kura, ongezea North Eastern ambako wana uungwaji mkono mkubwa na Western ambako wana walau 15% basi hawana namna ya kushindwa.kwahyo sheria inaruhusu transmission mbovu namna hyo how can they be sure kuwa kuna legitimacy wakati mfumo unaotakiwa haukutumika??? pia ilidaiwa database ilikuwa hacked na walifanya auditing pamoja na wakagundua ni kweli sasa kivp mnakataa kuwa mahakama hawana hoja za kuzuia uchaguzi???
mkuu odinga anataka uchaguzi kma angetaka nusu mkate angeshakuwa ameanza demos toka day 1 ya matokeo sasa cha aache siku zote ndio atake sahvi Y now not october 11???
atarudi sababu numbers ako nazo ana support pwani nzima pia south hadi ukambani pia west pamoja na north hivyo ana hopes za kushinda ikitokea turnout ni kubwa pia major cities nyingi anakubalika hivyo akipata big turnout among demoralised jubilee wasipopiga kura basi ndio kifo cha kenyatta
kwa ufupi odinga atashinda kma uchaguzi utakuwa wazi na huru
Jubilee are shooting themselves in the foot. Trust me this will backfire terribly. Let me explain. Wambugu took a petition to Jsc demanding investigation on C.J. Then some random guy takes another petition to Jsc demanding investigation on Justice Mwilu and Lenaola. First of all we need to understand that judges are human beings with feelings and political leanings. These judges are allowed to vote and they voted in August for either Uhuru or Raila. Now that said, these four judges that are being targeted (Mwilu, Lenaola, Maraga and possibly Smokin Wanjala) are feeling threatened and who knows, they may start hating Jubilee. Again as I have said they have feelings. If Raila is defeated and he goes to court he will win again and this cycle will go on and on as Jubilee keeps on attacking them. Maybe Jubilee is not directly attacking them but there is that perception. So it is for Jubilee to come out and dissociate itself from this second petition as it did in that first petition by Wambugu otherwise the situation is hopeless for Jubilee in case Raila goes back to court. This is just my opinion it is not necessary the truth.Baada ya kutenguliwa kwa uchaguzi wa tarehe 8/8/2017, Rais Kenyatta alinukuliwa akiwaita majaji hao kuwa ni wakora. Hizi sasa, dalili zaonyesha kuwa kuna ukweli kiwango fula.
Baada ya document iliyoitwa "Judiciary Capture" kusambazwa mitandaoni, Mahakama imetoa website yake mtandaoni kwa kile kinachosemekana ni njama ya kuficha ukweli. Hivi sasa ukienda www.judiciary.go.ke , hupati chochote.
Baada ya hapo, petition limepekwa kwa Judicial service commision kuomba hao majaji wachunguzwe. Kwa kweli fisadi ni fisadi tu.
Hiyo ni lugha iliyoanzishwa baada ya uchaguzi wa 2007 ambapo machafuko makubwa yalitokea baada ya Raila kudai kuibiwa kura.Umechambua vizuri,nifafanulie kuhusu MKATE NUSU kinaganaga.
propaganda ssa ushahidi mahakamani unasema 10,000 polling stations hazikuhakikiwa matokeo yake ambayo yanabeba kura zaidi ya million 4 sasa mlitaka majaji wakatae hyo hoja??? ina maana wale wanne wote walihongwa???
alafu kingine hta kma alikutana na NASA Lazma wangetuma representatives sio kutumia common faces eti orengo and wetangula this is a pure lie !!
kma kenyatta alishinda. akirudia si atashinda tena ssa hizi hasira za nni??? tunataka amani jirani zetu hizi propaganda zitasababisha machafuko
kwahyo sheria inaruhusu transmission mbovu namna hyo how can they be sure kuwa kuna legitimacy wakati mfumo unaotakiwa haukutumika??? pia ilidaiwa database ilikuwa hacked na walifanya auditing pamoja na wakagundua ni kweli sasa kivp mnakataa kuwa mahakama hawana hoja za kuzuia uchaguzi???
mkuu odinga anataka uchaguzi kma angetaka nusu mkate angeshakuwa ameanza demos toka day 1 ya matokeo sasa cha aache siku zote ndio atake sahvi Y now not october 11???
atarudi sababu numbers ako nazo ana support pwani nzima pia south hadi ukambani pia west pamoja na north hivyo ana hopes za kushinda ikitokea turnout ni kubwa pia major cities nyingi anakubalika hivyo akipata big turnout among demoralised jubilee wasipopiga kura basi ndio kifo cha kenyatta
kwa ufupi odinga atashinda kma uchaguzi utakuwa wazi na huru
acha upotoshaji mkuu ina maana wakalenjin na wakikuyu make up half of the country??? mbona gap ilikuwa one million pekee kma kweli only 2 tribes determine the winner ina mana wajaluo waluhya wakamba dont even make 20% ya Kenya acha upotoshaji mkuu kwenye voter turnout wakalenjin na wakikuyu walizidi halo engine ikiwa na maana kwamba voter turnout ikiwa kubwa kwenye stronghold za raila whether wakalenjin watapiga kura or not Kenyatta will go homeMkuu inaonyesha huijui siasa ya Kenya, Wakikuyu wakiwa kundi moja na Wakalenjin hawawezi kushindwa kwenye uchaguzi, hao peke yao ni kama 45% ya wapiga kura, ongezea North Eastern ambako wana uungwaji mkono mkubwa na Western ambako wana walau 15% basi hawana namna ya kushindwa.
Miji yote ya Kenya uungwaji mkono kisiasa unategemea mgawanyiko kimakabila, kwa Nairobi Kenyatta na Raila ni almost 49-51.
Ungekuwa aware ungetambua kwanin Isaack Rutto ambaye ameahidiwa Unaibu Waziri Mkuu na Raila kajitoa sasa, unadhan hapendi cheo ukizingatia ugavana kaishakosa?hakuna njia ya Raila kushinda na ndio maana hata kampeni sasa haangaiki nazo yeye yupo busy na press conferences kudiscredit kila kitu ili kuhakikisha uchaguzi haufanyiki ili waishie kwenye power sharing aka Nusu Mkate.