klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Comedian wetu inabidi nikueleze ukweli hupati mtu kwa sababu unatangatanga sana kwa Hus mbona ulikaribia kutoka think kloro think hahaha!
Mshikaji nasumbuliwa sana na mambo ya copirait hii thread niliiwekaz kule jokes jamaa kaileta hapa bila idhini yangu baada ya kuikarabati kidogo na juzi kati ile ya modenazeshen of women niliibiwa na Sokomoko Loya wangu inabidi usaidie.mkuu mbona umeingia kwenye sredi bila cheti? weka matokeo yako bana
dah! sisi wengine hapa naona inasomeka "access denied" tuinstall software gani ili tufanikiwe?
hahahahahhh lol
kuna software inaitwa "TOUCH GENTLY"
uki follow instraction zote
mmmmhhhh utaona raha zote dear..
hhahahaha lol
Mshikaji nasumbuliwa sana na mambo ya copirait hii thread niliiwekaz kule jokes jamaa kaileta hapa bila idhini yangu baada ya kuikarabati kidogo na juzi kati ile ya modenazeshen of women niliibiwa na Sokomoko Loya wangu inabidi usaidie.
Hahaha! demu kapinda sio kipolepole thanks 12 kwenye threads 1000+.husninyo hata senksi hatoi, unazani atatoa maliasili? think! uporoto think!
husninyo hata senksi hatoi, unazani atatoa maliasili? think! uporoto think!
acha nikafanye revision kidogo, sheria zote zimepotea kichwani baada ya kuona afrodenzi ana A+++ ya kulala uchi. dah!Mshikaji nasumbuliwa sana na mambo ya copirait hii thread niliiwekaz kule jokes jamaa kaileta hapa bila idhini yangu baada ya kuikarabati kidogo na juzi kati ile ya modenazeshen of women niliibiwa na Sokomoko Loya wangu inabidi usaidie.
think kloro think.....
yule muuza duka kaniuzia "rough is better" dah acha niirejeshe.
There are currently 7 users browsing this thread. (5 members and 2 guests)
uporoto01
klorokwini
afrodenzi
Hashycool
acha nikafanye revision kidogo, sheria zote zimepotea kichwani baada ya kuona afrodenzi ana A+++ ya kulala uchi. dah!
mkuu umepotea ghafla! au laptopu liliisha chaji? mimi leo silali bana nawakomoa internet provider.
Yuko kwa Diana dabodiff anamzuia Michelle kuwa neshno milingi.mkuu umepotea ghafla! au laptopu liliisha chaji? mimi leo silali bana nawakomoa internet provider.
mkuu umepotea ghafla! au laptopu liliisha chaji? mimi leo silali bana nawakomoa internet provider.
Yuko kwa Diana dabodiff anamzuia Michelle kuwa neshno milingi.
nimeona michelle anataka kuuwa upinzani wa jinsia, dah! kwa kuanzia nazani tumpatieni michelle yule mrembo alomleta cheusimangala wakaprektis kama itaworkYuko kwa Diana dabodiff anamzuia Michelle kuwa neshno milingi.
CHETI CHANGU HIKI HAPA
Kuoga A+,
uvumilivu A,
uchokozi A+,
kuzurura A,
kulala uchi F,
kuchukua bibi za watu F,
siasa A,
,
kutumia kondom F,
kwenda kanisa B,
kutongoza watoto F,
uhuni F,