Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Za asubuhi wakuu,
Kuna NGO nyingine unaweza kudhania kuwa ziko serious kumbe sivyo. Niliomba kazi kwa shirika moja lenye makao yake Australia. Wakanichagua kwenye shortlist, baada ya wiki moja nikafanya mahojiano ya kwanza, halafu baada ya wiki nyingine nikaitwa kwa mahojiano ya pili, na baada ya wiki nyingine nikaitwa kwa mahojiano ya tatu.
Imekuwa siku kumi na moja tangu nifanye mahojiano ya tatu lakini bado sijaambiwa lolote, na walisema wangejibu baada ya siku chache.
Wakuu, je hii ni sawa? Je, na wazungu wana ujinga wa kibongo? Maana waajiri walikuwa Wanaustralia.
Ninajisikia vibaya kwa sababu mahojiano yao ni magumu na hakuna updates kama umepata kazi au la. Na umetumia rasilimali zako kwa ajili ya kazi hiyo.
Ushauri tafadhali.