Habari wakuu,
Mnaweza kunisaidia kuniambia au kunipa ujuzi kwamba,,inawezekana kubadilisha Jina lako Necta kama nimemaliza Form IV lakini Certificates zina Old Name, mimi nilikuwa nahitaji kubadilisha jina langu.Asa inawezekana?kama inawezekana kivipi?
Asanteni.