Faithful wife
Member
- Apr 7, 2012
- 18
- 1
Yeyote anayehitaji research assistance ya level zote ya shule au hata ya biashara ni PM tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level yako ya elimu ipoje?
Namalizia phd yangu soon
Namalizia phd yangu soon
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya muda mrefu.naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience ya hii biashara nataka hasa kujua changamoto zake. Asanteni
Kazi kweli kweeli!
Faithful wife, bila ya shaka utafanikiwa. Mjini kuna makampuni mengi sana ya Consultancy wanahitaji watu wenye uwezo kama wako.Acha mawazo ya kizamani, sababu umeona hapo ni mama wa nyumbani unadhani mi ni std 7 eeh nina elimu yangu ya kutosha sijataka kuajiliwa nafanya biashara zangu ikiwemo hii huku namalizia phd yangu hapo mliman. Una swali?