Research Assistance

Faithful wife

Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Yeyote anayehitaji research assistance ya level zote ya shule au hata ya biashara ni PM tafadhali.
 
Namalizia phd yangu soon

Kazi kweli kweeli!
 
Kazi kweli kweeli!

Acha mawazo ya kizamani, sababu umeona hapo ni mama wa nyumbani unadhani mi ni std 7 eeh nina elimu yangu ya kutosha sijataka kuajiliwa nafanya biashara zangu ikiwemo hii huku namalizia phd yangu hapo mliman. Una swali?
 
Faithful wife, bila ya shaka utafanikiwa. Mjini kuna makampuni mengi sana ya Consultancy wanahitaji watu wenye uwezo kama wako.

Kitaaluma umesomea nini hasa? Na je, una uzoefu wowote?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…