Research Consultancy(Usaidizi wa report na data analysis)

Mmmmh...sasa wanafunzi si wataishia kufanyiwa research zao
 
Shillingi ngapi kufundisha SPSS na R separately? Minimum kwa muda wa siku ngapi kwa average ya masaa mangapi kwa siku?

Usiniambie nije PM. Dadavua hapa kwa faida ya wote.
 
Mmmmh...sasa wanafunzi si wataishia kufanyiwa research zao
hapana mkuu hapa ni kuwaelimisha tu research methodology, hata hivo vitu kama spss, stata na R lazima mtu usomeshwe bahati mbaya masters nyingi hazifundishi hizi software japokua ni muhimu kuzijua wakati wa kufanya research yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…