Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

mendez-digala

Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
23
Reaction score
48
Wakuu habari za weekend,
Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja?
Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa related,
Nitangulize shukran zangu kwa wote🙏🙏🙏
 
Mimi si mtaalam wa haya mambo, ili wakujibu ni lazima wajue swali lako la utafiti ni lipi.
 
Andika title yako hapa na specific objectives kwanza ndo wadau tuje
 
Back
Top Bottom