S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Feb 17, 2014 #1 heshimu kwenu wanataaluma, tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie... sijui pa kuanzia wala kuishia. amani iwe kwenu! ahsanteni kunielewa.
heshimu kwenu wanataaluma, tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie... sijui pa kuanzia wala kuishia. amani iwe kwenu! ahsanteni kunielewa.
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,332 Feb 17, 2014 #2 NONIYANG'WAKA said: heshimu kwenu wanataaluma, tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie... sijui pa kuanzia wala kuishia. amani iwe kwenu! ahsanteni kunielewa. Click to expand... Swali ni kwa nini unaandika research paper? Target yako au yake ni wakina nani? Ni research paper ya aina gani? Jibu haya upate msaada.
NONIYANG'WAKA said: heshimu kwenu wanataaluma, tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie... sijui pa kuanzia wala kuishia. amani iwe kwenu! ahsanteni kunielewa. Click to expand... Swali ni kwa nini unaandika research paper? Target yako au yake ni wakina nani? Ni research paper ya aina gani? Jibu haya upate msaada.
kobilo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2014 Posts 811 Reaction score 1,517 Feb 17, 2014 #3 0712 787161 just check me out to get a fast help.