Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 472
- 793
Kikubwa ni makubaliano tu, kuna wanaotupa kazi ya kwenda filed kukusanya then wanazipitia, kuzikagua vizuri mwishowe tunazifanyia analysis. Na kuna wale ambao wanaenda field wao then watatupa sisi data tunadeal nazo.Hapo kwenye "Data collection and analysis" mnamaanisha nini? Mtamsaidia Researcher kwenda site kukusanya data, na baadaye kuzifanyia analysis!
Au anaenda yeye mwenye site, halafu ndiyo awape hizo data zake na kuzifanyia analysis?
Majibu tafadhali.