mchina1989
New Member
- Feb 22, 2013
- 1
- 0
Ndugu zanguni ninatafuta mahali au institution zinazotoa course au training fupi za research sisizozidi mwaka mmoja na zinazofundisha statistical packages za aina mbalimbali (scientific & social science) zinazotambulika na kukubalika nchini kwetu.