M mchina1989 New Member Joined Feb 22, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 24, 2013 #1 Ndugu zanguni ninatafuta mahali au institution zinazotoa course au training fupi za research sisizozidi mwaka mmoja na zinazofundisha statistical packages za aina mbalimbali (scientific & social science) zinazotambulika na kukubalika nchini kwetu.
Ndugu zanguni ninatafuta mahali au institution zinazotoa course au training fupi za research sisizozidi mwaka mmoja na zinazofundisha statistical packages za aina mbalimbali (scientific & social science) zinazotambulika na kukubalika nchini kwetu.
Jilanga JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 255 Reaction score 40 Feb 26, 2013 #2 SPSS Saut wanafundisha.