research

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
habari za sasa hivi
nafanya research naomba mtaalamu wa kuedit kabla sijakusanya anaweza PM pamoja na gharama zake zote kazi ina page kama 60.
 
wasubirie watakuja
aanyway kuna mdada hapa anajua kuedit mpaka namuogopa ukimpa page 60 hata saa haiishi keshamaliza ni anatisha sana ..yupo kimara dar nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…