Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Kipindi watu tunawaza matreni kutoka South Korea, majirani wanapigania vyoo.
Hizo dili inabidi mpeleke kibera mtapiga hela sana jiraniHiyo pesa inayotembea hapo, waeza shika mashamba kadhaa huko Tz
Ndio maana utakutana na wadanganyika hapo katika hio street wakiombaomba[emoji23]
Hata kuna pastor kutoka Tz hapo utamkuta kila siku hapo nje ya archives, ansema sadaka ya Kenya ni tamu[emoji1666][emoji2089]