Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Miaka ya 60, mapambano ya Vita Baridi barani Ulaya yalishaniri. Ujerumani iligawanyika, eneo la Mashariki waliungana na Urusi katika siasa za Ujamaa wakati eneo la Magharibi liliendelea na siasa za Ulaya Magharibi za Kibrpari.
Katika kuzuia watu wasipate ushawishi wa Kibepari, Ujerumani Mashariki ilijenga ukuta usiku wa manane, asubuhi watu waliamka katika mshangao unaoonekana pichani. Fikiria unalala usiku na unapoamka asubuhi familia yako mtaa wa pili wanaishi nchi nyingine.
Maisha ndani ya Ujerumani Mashariki hayakutofautiana sana na maisha ya Urusi. Bidhaa muhimu zilikua was kwa ration na watu walipanga foleni. Haki hii iliendelea mpaka ukuta wa Berlin ulipovunjwa.