Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Kule wana support mzee, tena kule ndo kuna ushoga kindakindaki.Namkubali sana Vladimir Putin
Sasa wale ndugu zetu wa kule Italy wanasemaje?
And that is a characteristic of a great leader, you must show a clear-cut distinction between "Right" and "Wrong"Kwa hili putin npo pamoja nae kbs ila kuvamia ukraine simuungi mkono. Ingawa mambo ya uchoko na usagaji wazungu kwao n kawaida kbs hata uko urusi n kawaida yao ila mwamba hataki kuhalalisha ushetani tu.