Respect kwako Millard Ayo

Respect kwako Millard Ayo

Luvanga1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,026
Reaction score
1,706
Hongera sana presenter wangu Millard Ayo kwa kushinda tuzo 2 ya mtangazi bora wa redio anayependwa na kipindi bora cha redio kinachopendwa ambacho ni amplifaya hongera saana!! Mungu akupe maisha marefu.
 
nimefurahia tuzo ya lady jaydee baasss,,,
afu mwenyewe yupo zake hukooo Uganda Ana show huko,,
 
Luvanga1 unaposema "kuxhinda" unamaanisha nini? Pia ni lugha gani hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Kalamba 2mils safi sana!! Mtu wangu wa nguvu mambo ya magumashi ya buku 5 uache tena!
 
I love that guy more than words can say
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Zilikua zinatolewaa wapiii hizo tuzo"!//
 
yaani huu uandishi wa xaxa,xana etc huwa natamani kumlamba mtu makofi.....unakera kuliko ufisadi hakyamama....

Mimi nilimrekebisha girlfriend wangu kuhusu hilo akaleta jeuri nikamwambia ---- you to hell...! mpaka leo hatuzungumzi....!
 
Back
Top Bottom