Huo ni uandishi mbaya na wakijinga sana.Hongera sana presenter wangu millard ayo kwa kuxhinda tuzo 2 ya mtangazi bora wa redio anayependwa na kipindi bora cha redio kinachopendwa ambacho ni amplifaya hongera saana!! Mungua akupe maisha marefu
Bila shaka kajifunza alimaanisha "kushinda"
yaani huu uandishi wa xaxa,xana etc huwa natamani kumlamba mtu makofi.....unakera kuliko ufisadi hakyamama....
Kalamba 2mils safi sana!! Mtu wangu wa nguvu mambo ya magumashi ya buku 5 uache tena!
Million 2 USD au madafu?
nimefurahia tuzo ya lady jaydee baasss,,,
afu mwenyewe yupo zake hukooo Uganda Ana show huko,,