Hongera milard love you sana
bado hajafikia kunilowesha chupi naipenda kazi yake zaidiMbona unalowesha pichu sasa???
Zilikua zinatolewaa wapiii hizo tuzo"!//
Serena hotel, ivi ushawahi kufika binamu?
Binamu nikatafuteko ninii huko !!
Hilo nalo neno binamu yangu, sisi serena yetu ndo huku jf, raha zote tunazipata, hatutaki makuu wenyewe