Rest BBQ asipoangalia atapotea kwenye ramani ya biashara za mtandao

Rest BBQ asipoangalia atapotea kwenye ramani ya biashara za mtandao

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Jana huko mitandaoni palizuka ugomvi wa haja uliopelekea mwanamama Restuta Kweka aka rest BBQ kuingia live na kuwachamba mno Open Kitchen na Rachel Temu.

Kisa cha ugomvi ni biashara mpya alioianzisha ya kuuza dawa za kupunguza uzito kwa haraka. Upendo wa open anafanya mazoezi akiamini atapunguza uzito kwa mazoezi lakini it seems kuna wakala wa rest alimfata dm kumshawishi atumie hizo products.

Sasa Rest kachokozwa na Rachel kakasirikaaaa anamchamba mpaka Pendo wa Open Kitchen na anamnanga eti ana mali za urithi.

Yani dunia hadaaa, hivi Rest amesahau mara hii majuzi tu alikua analialia apate urithi kutoka kwa mzazi mwenzie Jonii. Rest kama unasoma hapa usijiingize kwenye bifu za ugomvi, utapoteaaa kwenye raman
 
Back
Top Bottom