Rest in Peace Comedian Joan

Tutakumiss jembe Joan. Ulikuwa kielelezo cha furaha na kujipenda hata pale umri (namba za kuakisi mvua ngapi mtu kazishuhudia duniani) unapokuwa umesonga.
Kwa kiasi kikubwa ulini inspire. Pumzika mama.
Kina Miss Osbourne , Giulliana na mkaka najua watakumiss zaidi maana kwa pamoja mlifanya timu njema.
 
My dear kui, she was having a PS (on her vocal cord), where she experienced serious complications (cardiac and respiratory arrest) and then she stopped breathing

angebaki tu na ile sauti yake.mie nilikuwa naipendaga
 
Last edited by a moderator:
RIP in peace funny lady, u made me laugh on fashion police....sasa hapo kwenye E! naona nimebakiwa na Kardashians tu, :angry:
 
Karma is a b!tch. Juzi tu hapa alisema wapalestina wafe tu, kwani wanakufa kwa kujitakia, wala hakufiria wanaokufa kule ni watoto wadogo na wanawake kama yeye.
 
'' Palestinian Civilians Diserve To Die '', Joan Rivers.

 
Last edited by a moderator:
Rest in hell alikuwa anafurahia watoto wa kipalestina kufa akajua ataishi milele again go to hell.
 
Karma is a b!tch. Juzi tu hapa alisema wapalestina wafe tu, kwani wanakufa kwa kujitakia, wala hakufiria wanaokufa kule ni watoto wadogo na wanawake kama yeye.

Thanks mkuu watu wanajua wanaishi milele kwenye hii dunia.
 
kalikua katata na FP YAKE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…