Rest In Peace Kizzo Gunz

Mbona na mie namjua Peter Gunz na sio wa kitambo?

Lord Tariq and Peter Gunz walitoa wimbo wa Deja Vu December 1997,nina uhakika ulikua teenager wa not less than 15yrz sasa hivi nakadiria utakua huna chini ya miaka 36!

Sio mdogo kwa vyovyote!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata 30 sijafika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Namjua kupitia reality show ya Love and Hip Hop

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kizzo Gunz, alikuwa kati wa waasisi wa JamiiForums wakati ule tunaita JamboForums. Alikuwepo sana hapa.

Lala salama Franklin Ndosi aka Kizzo Gunz. Pumzika sasa, na lala Salama. Amina.
Alitumia ID ipi au Lizaboni
 
Nyaningabu tuambie huyu rafiki yako alikuwa nani kwenye jamii,maana umeweka mambo yenu ya shule ya kutoroka vipindi na kunyuka watu kwa raba mtoni,je alikuwa msanii,mwanataaluma,mfanyabiashara au mganda wadada?
Alikuwa shoga maaruf sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…