Rest In Peace: Rufufu

Rest In Peace: Rufufu

Janma

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
423
Reaction score
407
Dah! Nikimkumbuka Uyu Mtu Huwa Naenjoy Mbayaa,,,,,, Nlipenda Tafsiri Yake Ya Kuvunja Mbavu Ila Pale Anapomalzia Jina Lake Ndo Utamu Wa Kuendlea Kuangalia Movie Unaponijia,,,,, Rufufuuu,,,, Rest In Peace Master
 
Jamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!😥
 
U were the master of swahil transilator....
Will always remember ur work., Rest in peace rufufu...
 
Jamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];
DJ AFRO
 
Siku hizo dj maki kuku ngwendu wa zabanga aka jogooooo
Wanakuuuuuja wazee wa mdebwedo
 
Jamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];
Ni mkenya yule kajaa matusi tu
 
Jamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];
Afroo Amigos mtu mbaya sana kutoka254..
 
Back
Top Bottom