Dah! Nikimkumbuka Uyu Mtu Huwa Naenjoy Mbayaa,,,,,, Nlipenda Tafsiri Yake Ya Kuvunja Mbavu Ila Pale Anapomalzia Jina Lake Ndo Utamu Wa Kuendlea Kuangalia Movie Unaponijia,,,,, Rufufuuu,,,, Rest In Peace Master
DJ AFROJamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];
Ni mkenya yule kajaa matusi tuJamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];
muvi alizotafsiri unaweka sauti ya chini kama vile unaangalia pornNi mkenya yule kajaa matusi tu
Afroo Amigos mtu mbaya sana kutoka254..Jamaa alikuwa Mkali sanaaaaa,siyo kama watafsiri wa sasa.Afu daah! Kuna Mtafsri mmoja siku hivi hadi anatukana(Ana rafudhi kama ya Kenya hivi,sijui ni Mkenya yule!!&[HASHTAG]#128549[/HASHTAG];